BaixarAPK
Pacote de Arquivos para Android
Informação curta
Na generalidade o arquivo Herufi na Akili – Akili and Me(Herufi na Akili – Akili and Me ) estabeleceu a sua avaliação 0 até 10. Trata-se duma avaliação cumulativa, pois os melhores aplicativos na loja do Google Play têm uma avaliação de 8 até 10. Total de críticas na loja do google play 0. Número total de críticas cinco estrelas recebido 0. Este aplicativo foi classificado de mau por 0 número de utilizadores. O intervalo do número estimado de descargas situa-se entre 50,000+ downloads na loja do google play Herufi na Akili – Akili and Me(Herufi na Akili – Akili and Me ) situada na categoria Educacional, com etiquetas e foi desenvolvida por Ubongo. Pode visitar o website deles https://www.ubongo.org ou enviar-lhes um digital@ubongo.org. Herufi na Akili – Akili and Me(Herufi na Akili – Akili and Me ) pode ser instalado em dispositivos android com a 4.4(Kitkat)+. Só proporcionamos pacotes de arquivos originais. Se algum dos materiais deste site violar os seus direitos, informe-nos Pode também descarregar o pacote de arquivos do Google e executá-lo utilizando emuladores do android tais como o big nox app player, o bluestacks ou o koplayer. Pode também descarregar o pacote de arquivos do Herufi na Akili – Akili and Me(Herufi na Akili – Akili and Me ) e executá-lo em emuladores android, tais como o bluestacks ou o koplayer. Versões do pacote de arquivos Herufi na Akili – Akili and Me(Herufi na Akili – Akili and Me ) disponíveis no nosso site: 1.0.0. A última versão do Herufi na Akili – Akili and Me(Herufi na Akili – Akili and Me ) é 1.0.0 e foi atualizada 2022/08/06
Captura de ecrã de Herufi na Akili – Akili and Me
Descrição de Herufi na Akili – Akili and Me

Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?

App yetu ya "Herufi na Akili" itampatia mwanao msingi imara wa Elimu!

App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10.000 kwenye Play Store!

“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”!

Mwanao atajifunza na Happy Hippo, Bush Baby na Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me".

Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:

FAIDA
- Atambue sauti za herufi.
- Afananishe herufi.
- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe.
- Acheze kwa uhuru.
- Apêndice kujifunza.

VILIVYOMO
- Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya.
- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.
- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6.
- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu.
- Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote.
- Inafanya kazi BILA MTANDÃO.

Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja.

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

Wangoja nini? Ipakue sasa BURE!

KIINGEREZA - ALFABETO DE
AKILI Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Alfabeto de Akili" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza.

"Alfabeto de Akili" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me". Tafuta tu "Akili's Alphabet" no Google Play, que é muito útil.

KUHUSU “AKILI AND ME”
“Akili and Me” ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa “Ubongo Kids” no programa nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika.

Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili.

Njoo ufurahi em Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby fez Jumamosi em Jumapili em 3 vitórias TBC1 (Tanzânia), em Jumamosi pekee em 3 vitórias Citizen TV (Quênia).

KUHUSU UBONGO
Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzânia inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote pale walipo.

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya "Ubongo Kids" e "Akili and Me" vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika.

ONGEA NASI
Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.

Por favor, classifique este aplicativo
Mais informações
Outras versões do Herufi para Android
Android comum jogos